Woman and child standing next to dog
Date: May 27, 2025
Location: Mara Region

Original Report (Swahili):

Mbwa anayemilikiwa alianza kuonyesha dalili za kichaa cha mbwa na kuwauma watoto wawili, mbwa wawili na ng’ombe. Mmiliki aliamua kumuua mbwa jana. Mzoga ulipatikana na sampuli ilichukuliwa asubuhi ya leo, ilipimwa na kupatikana kuwa +ve. Tunafuatilia watoto ili kupata chanjo mara moja, pamoja na mifugo iliyoumwa ili wapate chanjo pia.

Translation:

An owned dog began showing signs of rabies and bit two children, two dogs and a cow. The owner decided to kill the dog yesterday. The carcass was found, and a sample was taken this morning, it was tested and found to be +ve. We are following up with the children to get vaccinated immediately, as well as the bitten livestock to get them vaccinated too.

*A single rabid animal can create multiple exposures across species, emphasizing the importance of immediate vaccination for all bite victims – both human and animal – and proper laboratory confirmation of rabies status.