Volunteer giving dog vaccine
Date: January 28, 2026
Location: Lindi Region

Original Report (Swahili):

Tarehe 28 Januari 2026, tukio la kungatwa na mbwa limetokea katika Kijiji cha Muungano, Kata ya Nangaru, Tarafa ya Nangaru, Wilaya ya Lindi Manispaa, Mkoa wa Lindi. Mbwa jike wa umri wa miaka 3 aliwang’ata watu watano. Baada ya kupimwa, matokeo yalionyesha kuwa mbwa huyo alikuwa na ugonjwa wa kichaa cha mbwa (rabies). Watu wote watano waliongatwa walipelekwa Zahanati ya Nangaru ambapo walipatiwa matibabu ya haraka, pamoja na chanjo ya TT (Tetanus Toxoid) na chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kichaa cha mbwa (Anti-rabies).

Translation:

On January 28, 2026, a rabies-positive female dog bit five people in Muungano village, Nangaru ward, Lindi Municipal district. All five victims received immediate medical attention at Nangaru Health Center, where they were administered tetanus toxoid (TT) and anti-rabies post-exposure prophylaxis (PEP). The dog tested positive for rabies, confirming the urgent need for the medical interventions provided.

*This incident represents a multi-victim rabies exposure event requiring ongoing monitoring of the victims’ treatment compliance and community education to prevent further exposures.